Thursday, 19 May 2016

Picha,Jumba walioishi Jay Z na Beyoncé lapanda bei ghafla.




Jumbe walilokuwa wakiishi wasanii wakubwa ambao ni mke na mume Jay Z na Beyoncé huko kwenye mitaa ya Bridgehampton kwa sasa limepanda dau na linakodishwa kwa dola milioni 1 kwa mwezi.
Beyoncé na Jay Z walilipia dola $400,000 kwa mwezi ambapo pia walishoot video ya Drunk In Love nyuma ya nyumba hio. Nyumba ina vyumba 12 vya kulala, mabafu 12, na ni dola milioni moja kwa mwezi.
560.ab.beyonce.073012  jay-z-and-beyonce-rent-sandcastle-hamptons-rental-1

No comments:

Post a Comment