Louis van Gaal amekuwa kocha wa
kwanza kushinda kombe la FA Cup na klabu ya Manchester United baada ya
kocha Alex Ferhuson ila jambo hili bado halijabadilisha maisha yake
kwenye klabu hio.
Van Gaal anategemea kutimuliwa wiki ijayo
na nafasi yake ichukuliwena kocha matata zaidi duniani Jose Mourinho kwa
mshahara wa pound milioni 12 kwa mwaka.
Van Gaal anasema alitumia muda mwingi
kuijenga timu ambayo imeshinda kombe lakwanza toka kuondoka kwa Sir Alex
Ferguson miaka mitatu iliyopita.
No comments:
Post a Comment