Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa alipowasili kwa Ibada
ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo
Machi 27, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Mkewe Mama Magufuli wakishiriki na waumini wengine Ibada ya Pasaka
katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27,
2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimia waumini huku akisikilizwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya
Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex
Malasusa na Mchungaji Chalres Mzinga baada ya Ibada ya Pasaka katika
Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Rebecca Malasusa na Askofu
Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania Dkt. Alex Malasusa baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la
KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiwapungia waumini baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la
Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na mtoto Javiera Lyimo (9) anayesoma darasa la tano shule
ya Genesis jijini baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la
Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016.
No comments:
Post a Comment