Ni tamaduni kushukuru mashabiki wako baada tu ya kufanikiwa kwenye
chochote unachofanya kinachowahusisha. Mwigizaji Elizabeth Michael
amefanikiwa kushinda tuzo moja ya Best Movie East Africa kupitia movie
yake ya Mapenzina haya ndio maneno yake kwa watu wake.
No comments:
Post a Comment