Mke wa rais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan,Nancy amefariki akiwa na umri wa miaka 94.
Aliwahi
kuwa mchezaji sinema, kabla ya kukutana na mumewe, Ronald , ambaye
alikuwa rais wa Marekani baina ya mwaka wa 1981 na1989.Kuna watu wanaosema, alikuwa na kauli kubwa kwa rais Reagan alipokuwa katika uongozi.
Nancy Reagan alikuwa mrembo aliyefuata mitindo ya mavazi - alianzisha kampeni ya kupambana ma mihadarati - iliyokuwa na nembo " Sema sitaki tu"BBC SWAHILI
No comments:
Post a Comment