Monday, 8 February 2016

Wimbo mpya unao zungumzia Mauaji ya Albino na Vikongwe unapatikana hapa

 

Miongoni kati ya vitu ambavyo haviruhusiwi nchini Tanzania ni pamoja na unyanyapaaji,ujangili nk, hivyo kwa kuliona hilo Mr&Mrs.Elihuruma Chao wameamua kutoa video ya wimbo ambao unaitwa “Albino Hawana Hatia” ambao  Unaozungumzia mauaji ya Albino na wazee wanao uwawa bila Hatia Wmbo huu Umerekodiwa na kufanyiwa video katika studio ya NiceMedia Production Arusha Tel.0755670258.  Kwa kudumisha mshikamano na haki za binadamu basi itazame hii video kisha endelea kusambaza ujumbe kwa walio wengi.



No comments:

Post a Comment