Monday, 4 January 2016

Watu wanne wamefariki dunia kwa ajali



Image result for RPC PETER KAKAMBA IMAGE Watu wanne wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la abiria la kampuni ya Luwinzo lililokuwa linatoka Njombe kuelekea jijini Dar Es Salaam kuligonga lori kwa nyuma.

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi Mkoani Iringa Peter Kakamba amesema kuwa imetokea katika maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi katika mkoa wa Iringa.

No comments:

Post a Comment