Wahariri
wa gazeti la Mawio wakizungumza leo walipokuwa wanajisalimisha makao
makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda akizungumza na waandishi wa
habari katika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam
kuhusiana na kufungiwa na Serikali gazeti la Mawio jana.



No comments:
Post a Comment