Ripoti hiyo na matokeo inaonesha jumla
ya wanafunzi 324,068 wamefaulu mtihani huo kati ya 363,666… kwa hesabu
nyingine ni kwamba waliofaulu ni 89% kati ya wanafunzi wote Tanzania.
Hongera pia ziende kwa mikoa ambayo imeingia 10 bora mwaka huu ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Iringa pia.
No comments:
Post a Comment