Monday, 11 January 2016

TAZAMA NEW VIDEO KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ " HELLO"

Image result for diamond platinum

 Msanii wa muziki wa Bongo fleva maarufu ndani na nje ya Tanzania, Diamond Platnumz baada ya kuachia Video yake mpya ya wimbo wa ‘Utanipenda’, mwishoni mwa mwaka 2015, sasa mwaka huu 2016 nyota huyo ameamua kuja na ujio wa ngoma mpya ambayo ameipa jina la ‘Hello’ kupitia tovuti yetu hapa unaweza ukaisikiliza na ku-download hapa ukimaliza tunakuomba endelea kuwa karibu nasi kwani bado tunaendelea kukujuza zaidi. Enjoy the Good Music 2016.

No comments:

Post a Comment