TAZAMA HOTUBA YA MWISHO YA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA KWA TAIFA LA MAREKANI
Rais wa Marekani Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho kuhusu hali
ya taifa la Marekani. Amegusia masuala kadha wa kadha ikiwemo haja ya
Wamarekani kuungana ili ku kabiliana na kitisho cha IS.
No comments:
Post a Comment