Thursday, 7 January 2016

Rais Magufuli Akutana na Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Warioba Ikulu-Dar

Magufuli warioba ikulu na mkapa (1)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Mh. Benjamini William Mkapa, Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 7,2016.
Magufuli warioba ikulu na mkapa (2)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa, Ikulu jijini Dar es Salaam alipomtembelea leo.
Magufuli warioba ikulu na mkapa (3)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 7,2016.(P.T)
Magufuli warioba ikulu na mkapa (4)
Magufuli warioba ikulu na mkapa (5)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es Salaam alipomtembelea leo.
Magufuli warioba ikulu na mkapa (6)
Magufuli warioba ikulu na mkapa (7)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kufanya mazungumzo January 7,2016
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

No comments:

Post a Comment