Friday, 22 January 2016

Nay wa Mitego kaamua kusimulia alivyofumania na kunyang’anya mtoto kwa mpenzi wake.

Stori ilikamata sana headlines mwaka 2015, Nay wa Mitego na mzazi mwenzake Siwema kutoka Mwanza… mtoto wao ikawa stori kubwa, Nay aliapa hatojibizana na madai yote ya mitandaoni kuhusu mzazi mwenzake huyo japo watu wengi walimlaumu kwa maamuzi yake kumchukua mtoto kwa mama yake na kuanza kuishi nae akiwa mchanga sana.
NAY III
Nay wa Mitego kasimulia kila kitu kwenye show ya ‘Leo Tena‘ ya Clouds FM.. Ukiplay hii sauti utasikia kila kitu, kuanzia simu za mashuhuda wa Mwanza na matukio ya mpenzi wake ikiwemo uhusiano na wanaume wengine, safari ya Airport Dar- Mwanza kufata mtoto wake, utata wa DNA na uhusiano wake na Shamsa na jinsi walivyoachana.

No comments:

Post a Comment