BAO la Dakika ya 27 la Ahley Williams limewakomboa Swansea City kutoka Timu 3 za mkiani za Ligi Kuu England na kuwapandisha hadi Nafasi ya 17 baada ya kuichapa Watford 1-0 hapo Jana.
Wakicheza kwao, Swansea wangeweza kufunga Bao la Pili lakini Shuti la Straika wao hatari Bafetimbi Gomes, alieingizwa kutoka Benchi, likagonga Posti.
VIKOSI:
Swansea:Fabianski, Naughton, Fernandez, Williams, Taylor, Britton, Cork, Ki, Sigurdsson, Ayew, Routledge
Akiba: Amat, Emnes, Nordfeldt, Gomis, Montero, Rangel, Barrow.
Watford:Gomes, Nyom, Cathcart, Britos, Ake, Behrami, Capoue, Watson, Jurado, Ighalo, Deeney
No comments:
Post a Comment