Sunday, 10 January 2016

KOLABO YA MB DOGY NA LILY WAYNE YA NUKIA


Meneja wa MB Dog athibitisha Collabo ya Mb Dog na Lil Wayne

Image result for lil wayne


BAADA YA WATU WENGI KUJIULIZA JUU YA UVUMI UNAO MUHUSU MSANII WA BONGOFLEVA NCHINI TANZANIA MB DOG KUFANYA KOLABO NA RAPA KUTOKA NCHINI MAREKANI LILYWYNE, HIVI KARIBUNI MB DOGY KUPITIA MENEJA WAKE AMEFAFANUA NA KUTHIBITISHA KUA SUALA HILO NI KWELI LIPO NA SI TETESI KAMA WENGINE WANANVYO DHANI

Image result for mb doggy


AKIONGEA NA KITUO KIMOJA CHA REDIO NCHINI TANZANIA MENEJA WA MB DOGY ANAE FAHAMIKA KWAJINA LA  QS MUHONDA  AMESEMA KUA KWAHIVI SASA WAKO KATIKA MAZUNGUMZO YA KINA NA MENEJMENT YA MSANII LILY WYNE ILIKUHAKIKISHA KUWA KOLABO HIYO INAFANYIKA NAHIVYO KUMFIKISHA MB DOG KATIKA ANGA ZA KIMATATAIFA HALI ITAKAYO PELEKEA KUNYANYUKA KWA MUZIKI WA KITANZANIA

   HIVI SASA MB DOG AMEACHOIA KIBAO KIPYA KIANACHO KWENDA KWA JINA LA SIRI ILI KUHAKIKISHA KUWA ANARUDI TENA KATIKA CHATI BAADA YA KUPOTEA KWA KIPINDI KIREFU

No comments:

Post a Comment