CHEKA ENDELEA KUJIFUA VIKALI ZAMBIA ILI KULIPA KISASI KWA MUINGEREZA
Bondia
Mtanzania, Francis Cheka akiwa kwenye kambi ya mazoezi mjini Lusaka,
Zambia ambako anajiandaa na pambano la uzito wa Middle kuwania ubingwa
wa Mabara wa WBF dhidi ya Muingereza, Geard Ajetovic litakalofanyika
Februari 27, mwaka huu viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es
Salaam

Cheka
anajifua chini ya jopo la makocha linaloongozwa na Muafrika Kusini na
Mzambia kuhakikisha analipa kisasi kwa Muingereza huyo ambaye awali
alimshinda mjini Manchester, England
No comments:
Post a Comment