Safari ya Real Madrid na mocha Rafa Benitez imefikia ukingoni baada ya kutimuliwa leo.
Gwiji la timu hiyo, Zinedine Zidane amepewa jukumu la kukinoa kikosi cha Madrid na ndiyo anakuwa mocha mkuu.
Real
Madrid imemtimua Benitez baada ya miezi sita tu na ikiwa ni sikh mona
tu baada ya safe ya mabao 2-2 dhidi ya Valencia inayonolewa na Kocha
Gary Neville ambaye ni nyota wa zamani wa Man United.
No comments:
Post a Comment