JESHI la Polisi mkoa Mkoa wa Iringa
limewakamata wahamiaji haramu 26 kutoka Ethiopia huku mmoja kati yao akiwa
amefariki kutokana na kudhoofu kwa afya yake.
Kamanda wa Polisi mko wa Iringa
kamishina msaidizi wa Polisi Mkoa wa Iringa (ACP) Peter Kakamba amesema hayo katika
mahojiano maalum na na mtandao wa habarika TZ
Aidha Kamanda Kakamba aliwataka
wananchi wa Mkoa wa Iringa kuaga mwaka 2015 na kukatibisha mwaka 2016 pasipo
kufanya vitendo vyovyote vitakavyo hatarisha amani na maisha yao.
No comments:
Post a Comment