LIGI KUU ENGLAND
Matokeo:
Jumatatu Desemba 28
Crystal Palace 0 Swansea 0
Everton 3 Stoke 4
Norwich 2 Aston Villa 0
Watford 1 Tottenham 2
West Brom 1 Newcastle 0
Arsenal 2 Bournemouth 0
Man United 0 Chelsea 0
West Ham 2 Southampton 1
KWA MARA ya kwanza baada ya kitambo, Old Trafford ilishuhudia Man United ikitawala na kutandaza Soka safi lakini kushindwa kufunga na kupata ushindi baada ya kutoka 0-0 na Mabingwa Watetezi Chelsea.
Man United walitawala Mechi hii na kukosa nafasi ya kushinda ili kumpa afueni Meneja wao Louis van Gaal ambae anasakamwa baada ya kutoshinda katika Mechi 8
zilizokwisha vikiwemo vipigo vinne kabla ya Mechi hii.
Kwa Chelsea Mechi hii nayo ni Sare ya Pili mfululizo kwa Meneja mpya Guus Hiddink alietwaa wadhifa baada ya kutimuliwa Jose Mourinho Wiki iliyopita.
Manchester United: De Gea, Darmian, Smalling, Blind, Young, Schneiderlin, Schweinsteiger, Mata, Ander Herrera, Martial, Rooney.
Akiba: Jones, Depay, Carrick, Romero, Fellaini, Borthwick-Jackson, Andreas Pereira.
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Zouma, Terry, Azpilicueta, Matic, Mikel, Pedro, Oscar, Willian, Hazard.
Akiba: Begovic, Baba, Ramires, Traore, Djilobodji, Kenedy, Loftus-Cheek
REFA: Martin Atkinson
LIGI KUU ENGLAND
Jumanne Desemba 29
2245 Leicester v Man City
Jumatano Desemba 30
2245 Sunderland v Liverpool
Jumamosi Januari 2
1545 West Ham v Liverpool
1800 Arsenal v Newcastle
1800 Leicester v Bournemouth
1800 Man United v Swansea
1800 Norwich v Southampton
1800 Sunderland v Aston Villa
1800 West Brom v Stoke
2030 Watford v Man City
Jumapili Januari 3
1630 Crystal Palace v Chelsea
1900 Everton v Tottenham
No comments:
Post a Comment