mkongwe wa muziki, Afande Sele december 23 alipohojiwa na mtandao maarufu na kusema ‘Wanaoenda kushoot South wana biashara za siri’ kauli hiyo imeonesha kumkera Madee ambaye alimtaka aombe radhi kwa wasanii wenzake.
‘Unajua
yale ni matusi kwenye muziki kwenye Bongo Fleva halafu watu kama Afande
Sele ndio waanzilishi wa huu muziki sasa muziki unapoelekea sasa ni
kwenye level ya kimataifa muziki unakua kwahyo vitu alivyokuwa anafanya
yeye mwanzo..kwasasa anaviona vipya anaona kama maajabu watu kumiliki
hela nyingi…astaajabu na kuhisi labda wasanii wanafanya ishu nyingi‘ – Madee
No comments:
Post a Comment