Friday, 22 July 2016

VideoMPYA: Edu Boy katuletea hii video mpya akiwa na Barnaba

Rapper Edu Boy time hii ametuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Nimejifunza aliyomshirikisha Barnaba,ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.


No comments:

Post a Comment