Friday, 22 July 2016

LIGI KUU ENGLAND: KLABU KWA KLABU PATA LISTI UHAMISHO RASMI HADI SASA!


UHAMISHO-16HIVI SASA Dirisha la Uhamisho la Ligi Kuu England kwa ajili ya Msimu Mpya wa Mwaka 2016 /17 lipo wazi hadi Saa 7 Usiku, Saa za Bongo, Agosti 31.

IFUATAYO NI LISTI Klabu kwa Klabu kwa Uhamisho uliokamilika ambayo inaonyesha Wachezaji Wapya na wale Walioondoka.
AFC Bournemouth
WAPYA:
Emerson Hyndman (Fulham) Bure
Nathan Ake (Chelsea) Mkopo
Lys Mousset (Le Havre) Ada Haikutajwa
Mark Travers
Mikael Ndjoli (Millwall)
Lewis Cook (Leeds)
Jordon Ibe (Liverpool)
WALIOONDOKA:
Sylvain Distin Ametemwa
Tommy Elphick (Aston Villa) Ada Haikutajwa
Matt Ritchie (Newcastle United) Ada Haikutajwa
Stephane Zubar Ametemwa
Glenn Murray (Brighton & Hove Albion) Mkopo
Lee Tomlin (Bristol City) Ada Haikutajwa
Arsenal
WAPYA:
Granit Xhaka (Borussia Monchengladbach) Ada Haikutajwa
Takuma Asano (Hiroshima Sanfrecce) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Mikel Arteta Ametemwa
Tomas Rosicky Ametemwa
Mathieu Flamini Ametemwa
Isaac Hayden Ametemwa
Dan Crowley (Oxford United) Mkopo
Jon Toral (Mkopo) Granada
Wellington Silva (Fluminense) Ada Haikutajwa
Burnley
WAPYA:
Jimmy Dunne Bure
Johann Berg Gudmundsson (Charlton Athletic) Ada Haikutajwa
Nick Pope (Charlton Athletic) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Joey Barton (Rangers) Bure
Matt Gilks (Rangers) Bure
Matt Taylor Ametemwa
Michael Duff Amestaafu
Chelsea
WAPYA:
Meneja: Antonio Conte
Michy Batshuayi (Marseille) Ada Haikutajwa
N'Golo Kante (Leicester City) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Lewis Baker (Vitesse Arnhem) Mkopo
Nathan Ake (AFC Bournemouth) Mkopo
Jeremie Boga (Granada) Mkopo
Tomas Kalas (Fulham) Mkopo
Kasey Palmer (Huddersfield Town) Mkopo
Alex Kiwomya (Crewe Alexandra)
Crystal Palace
WAPYA:
Andros Townsend (Newcastle United) £13m
Steve Mandanda (Marseille) Ada Haikutajwa
James Tomkins (West Ham United) £10m
Andros Townsend (Crystal Palace)
WALIOONDOKA:
Emmanuel Adebayor Ametemwa
Marouane Chamakh Ametemwa
Brede Hangeland Ametemwa
Adrian Mariappa Ametemwa
Patrick McCarthy Ametemwa
Dwight Gayle (Newcastle United) £10m
Everton
WAPYA:
Meneja: Ronald Koeman
Bassala Sambou (Coventry City) Ada ya Fidia
Chris Renshaw (Oldham Athletic) Ada Haikutajwa
Maarten Stekelenburg (Fulham) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Steven Pienaar Ametemwa
Leon Osman Ametemwa
Tony Hibbert Ametemwa
Tim Howard (Colorado Rapids) Ada Haikutajwa
Hull City
WAPYA:
Will Mannion (AFC Wimbledon) Jopo kuamua Ada
WALIOONDOKA:
Sone Aluko Ametemwa
Ryan Taylor Ametemwa
Leicester City
WAPYA:
Ron-Robert Zieler (Hannover 96) Ada Haikutajwa
Luis Hernandez (Sporting Gijon) Bure
Raul Uche Rubio (Valencia) Ada Haikutajwa
Nampalys Mendy (Nice) Ada Haikutajwa
Ahmed Musa (CSKA Moscow) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Andrej Kramaric (Hoffenheim) Ada Haikutajwa
Mark Schwarzer Ametemwa
Paul Konchesky Ametemwa
Ryan Watson Ametemwa
Dean Hammond Ametemwa
Harry Panayiotou Ametemwa
N'Golo Kante (Chelsea) Ada Haikutajwa
Joe Dodoo (Rangers) Ada Haikutajwa
Liverpool
WAPYA:
Joel Matip (Schalke) Bure
Loris Karius (FSV Mainz 05)
Sadio Mane (Southampton) Ada Haikutajwa
Ragnar Klavan (Augsburg) Ada Haikutajwa
Sadio Mane (Liverpool)
WALIOONDOKA:
Joao Carlos Teixeira (Porto) Bure
Jerome Sinclair (Watford) Ada Haikutajwa
Kolo Toure Ametemwa
Lawrence Vigouroux (Swindon Town) Ada Haikutajwa
Jordan Rossiter (Rangers) Bure
Danny Ward (Huddersfield Town) Mkopo
Jose Enrique Ametemwa
Samed Yesil Ametemwa
Sergi Canos (Norwich City) Ada Haikutajwa
Martin Skrtel (Fenerbahce) Ada Haikutajwa
Jordon Ibe (AFC Bournemouth) 
Adam Bogdan (Wigan Athletic) Mkopo
Manchester City
WAPYA:
Meneja: Pep Guardiola
Ilkay Gundogan (Manchester City)
Nolito (Celta Vigo) Ada Haikutajwa
Oleksandr Zinchenko (FC Ufa) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Martin Demichelis Ametemwa
Seko Fofana (Udinese) Ada Haikutajwa
Manchester United
WAPYA:
Meneja: Jose Mourinho
Eric Bailly (Villarreal) Ada Haikutajwa
Zlatan Ibrahimovic (PSG) Bure
Henrikh Mkhitaryan (Borussia Dortmund) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Meneja: Louis van Gaal
Tyler Reid (Swansea City) Ada Haikutajwa
Victor Valdes (Middlesbrough) Bure
Jimmy Dunne (Burnley) Bure
Nick Powell (Wigan Athletic) Bure
Joe Rothwell (Oxford United) Ada Haikutajwa
Ashley Fletcher (West Ham United)
Middlesbrough
WAPYA:
Viktor Fischer (Ajax) Ada Haikutajwa
Bernardo Espinosa (Sporting Gijon) Ada Haikutajwa
Marten De Roon (Atalanta) Ada Haikutajwa
Jordan McGhee (Heart of Midlothian) Mkopo
Victor Valdes (Manchester United) Bure
Antonio Barragan (Valencia) Ada Haikutajwa
Alvaro Negredo* (Valencia) Mkopo
WALIOONDOKA:
Jonathan Woodgate Ametemwa
Damia Abella Ametemwa
Rhys Williams (Perth Glory) Bure
Connor Ripley (Oldham) Mkopo
Southampton
WAPYA:
Manager Claude Puel
Nathan Redmond (Norwich City) Ada Haikutajwa
Pierre-Emile Hojbjerg (Bayern Munich) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Gaston Ramirez Ametemwa
Kelvin Davis Amestaafu
Juanmi (Real Sociedad) Ada Haikutajwa
Victor Wanyama (Tottenham Hotspur) Ada Haikutajwa
Sadio Mane (Liverpool) Ada Haikutajwa
Jason McCarthy (Walsall) Mkopo
Graziano Pelle (Shandong Luneng) Ada Haikutajwa
Stoke City
WALIOONDOKA:
Peter Odemwingie Ametemwa
Steve Sidwell (Brighton & Hove Albion) Bure
Sunderland
WALIOONDOKA:
Danny Graham (Blackburn Rovers) Bure
Steven Fletcher (Sheffield Wednesday) Bure
Wes Brown Ametemwa
Mikael Mandron (Eastleigh) Bure
Emanuele Giaccherini (Napoli) Ada Haikutajwa
Santiago Vergini (Boca Juniors) Ada Haikutajwa
Swansea City
WAPYA:
Leroy Fer (Queens Park Rangers) Ada Haikutajwa
Mike van der Hoorn (Ajax) Ada Haikutajwa
Tyler Reid (Manchester United) Ada Haikutajwa
George Byers (Watford) Bure
Mark Birighetti (Newcaste Jets) Bure
WALIOONDOKA:
Matthew Grimes (Leeds United) Mkopo
Eder (Lille) Ada Haikutajwa
Alberto Paloschi (Atalanta) Ada Haikutajwa
Kyle Bartley (Leeds United) Mkopo
Liam Shephard (Yeovil Town) Mkopo
Matt Grimes (Leeds United) Mkopo
Ryan Hedges (Yeovil Town) Mkopo
Tottenham Hotspur
WAPYA:
Victor Wanyama (Southampton) Ada Haikutajwa
Vincent Janssen (AZ Alkmaar) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Filip Lesniak (Slovan Liberec) Mkopo
Watford
WAPYA:
Meneja: Walter Mazzarri
Jerome Sinclair (Liverpool) Ada Haikutajwa
Christian Kabasele (Genk) Ada Haikutajwa
Isaac Success (Granada) Ada Haikutajwa
Juan Camilo Zuniga (Napoli) Mkopo
Brice Dja Djedje (Marseille)
WALIOONDOKA:
Joel Ekstrand Ametemwa
Gabriele Angella (Udinese)
George Byers (Swansea City) Bure
Jose Manuel Jurado (Espanyol) Ada Haikutajwa
West Bromwich Albion
WAPYA:
Matt Phillips (Queens Park Rangers) Ada Haikutajwa
WALIOONDOKA:
Victor Anichebe Ametemwa
Stephane Sessegnon Ametemwa
Anders Lindegaard Ametemwa
West Ham United
WAPYA:
Toni Martinez (Valencia) Ada Haikutajwa
Havard Nordtveit (Borussia Moenchengladbach) Bure
Domingos Quina
Sofiane Feghouli (Valencia) Bure
Gokhan Tore (Besiktas) Mkopo
Ashley Fletcher (Manchester United)
WALIOONDOKA:
Joey O'Brien Ametemwa
Elliot Lee Ametemwa
James Tomkins (Crystal Palace) £10m

No comments:

Post a Comment