Katika soka siku zote kuna magoli mengi
na mazuri yanafungwa katika maeneo yasiotarajiwa, moja kati ya magoli
ambayo huwa yanafungwa kwa nadra sana ni magoli kufungwa kutokea
katikati ya uwanja au nusu ya upande wa pili wa uwanja, July 25 2016
naomba nikusogezee magoli mazuri yaliowahi kufungwa kutokea katikati ya
uwanja.
No comments:
Post a Comment