Rais
John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais
Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein
katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa
Mashujaa, Julai 25, 2016.
Rais
John Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi,Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais wa
Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika Maadhimisho ya Siku ya
Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa, Julai 25, 2016. Kulia
ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubei Ali Maulid na wapili kulia ni
Spika wa Bunge, Dkt, Tulia Ackson.
Wananchi
wa Dodoma waliojitokeza kushiriki kwenye Maadhimisho ya Siku ya
Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
wakimsikilza Rais John Maguguli wakati alipozungumza kwenye maadhimisho
hayo mjini julai 25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Dodoma katika
Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa
mjini Dodoma , Julai 25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo
Pinda katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye
uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai 25, 2016. Kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula na watatu kulia ni Makamu Mwenyekiti
wa CCM Mstaafu ,John Malecela.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Meya wa manispaa ya Dodoma, Jafari
Mwanyembwa katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye
uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai 25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,
Jenerali , Davis Mwamunyange katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya
Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai 25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Polisi,
Ernest Mangu, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Davis Mwamunyange na Kamishina
Jenerali wa Magereza John Minja(kulia)m katika Maadhimisho ya Siku ya
Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai
25, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Jeshi la
Magereza, John Minja katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya
Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai 25, 2016.
Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi , Jenerali Davis Mwamunyange
na kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe, Dkt.John Pombe Magufuli akipokea heshama ya gwaride la Vikosi vya Ulinzi katika maadhimisho ya kilele cha siku ya mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa Mnara wa Mashujaa Mjini Dodoma leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi mara alipowasili katika Maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa Mnara wa Mashujaa Mjini Dodoma leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Sulihu Hassan mara alipowasili katika Maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa Mnara wa Mashujaa Mjini Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe, Dkt.John Pombe Magufuli akiweka Mkuki na Ngao katika kilele cha maadhimisho ya siku ya mashujaa katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma leo
[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment