Muigizaji
nyota wa filamu nchini, Jacob Steven (JB) akiizungumza na waandishi wa
habari kuhusiana na igizo jipya lilijulikanalo kwa jina la Kumekucha
ambalo imeandaliwa na taasisi ya Africa Lead kwa kushirikiana na Media
For Development International (MFDI) chini ya udhamini wa Shirika la
Kimataifa la Maendeleo (Usaid). Katika igizo hilo, JB ametumia jina la
Mzee Kidevu.
Muandishi
wa ‘script’ ya igizo la Kumekucha, Priscilla Mlay (kulia) akizungumza
wakati wa utambulisho wa igizo la Kumekucha ambalo limeandaliwa na
taasisi ya Africa Lead kwa kushirikiana na Media For Development
International (MFDI) chini ya udhamini wa Shirika la Kimataifa la
Maendeleo (Usaid).
Mkurugenzi
wa masuala ya Uchumi wa USAID, Randy Chester (wa kwanza kushoto)
akizungumza wakati wa uzinduzi wa igizo hilo la Kumekucha utawaamsha na
kupata maendeleo,”
Mwanamuziki
mkongwe nchini, John Kitime (wa kwanza kulia) akizungumza wakati wa
uzinduzi wa igizo la Kumekucha ambalo limeandaliwa na taasisi ya Africa
Lead kwa kushirikiana na Media For Development International (MFDI)
chini ya udhamini wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo (Usaid). Kitime
ndiye aliyeingiza muziki katika igizo hilo.
waigizaji wa igizo hilo.
No comments:
Post a Comment