
Wachezaji ambao Mikataba yao imeisha au hawana Klabu yeyote wapo huru kuchukuliwa na Klabu yeyote ile nje ya Dirisha la Uhamisho.
DILI ZILIZOKAMILIKA HADI SASA:
AFC Bournemouth
NJE
Sylvain Distin (Ameachwa)
Arsenal
MPYA
Granit Xhaka (Borussia Monchengladbach) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Mikel Arteta (Ameachwa)
Tomas Rosicky (Ameachwa)
Chelsea
MPYA
Meneja: Antonio Conte
Everton
MPYA
Bassala Sambou (Coventry City)
Leicester City
MPYA
Ron-Robert Zieler (Hannover 96) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Andrej Kramaric (Hoffenheim) ADA HAIKUTAJWA
Liverpool
MPYA
Joel Matip (Schalke) Bure
Loris Karius (FSV Mainz 05)
Manchester City
MPYA
Meneja: Pep Guardiola
Manchester United
MPYA
Meneja: Jose Mourinho
Eric Bailly (Villarreal) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Meneja: Louis van Gaal
Middlesbrough
MPYA
Viktor Fischer (Ajax) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Jonathan Woodgate (Ameachwa)
Damia Abella (Ameachwa)
Rhys Williams (Perth Glory) Bure
Southampton
NJE
Gaston Ramirez (Ameachwa)
Kelvin Davis (Amestaafu)
Juanmi (Real Sociedad) ADA HAIKUTAJWA
Swansea City
NJE
Eder (Lille) ADA HAIKUTAJWA
Watford
MPYA
Meneja: Walter Mazzarri
NJE
Joel Ekstrand (Ameachwa)
West Ham United
MPYA
Toni Martinez (Valencia) ADA HAIKUTAJWA
Havard Nordtveit (Borussia Moenchengladbach) Bure
Domingos Quina(Kutoka Portugal)
NJE
Joey O'Brien (Ameachwa)
Elliot Lee (Ameachwa)
No comments:
Post a Comment