Monday, 13 June 2016

Collabo ya Diamond na Psquare kutoka hivi karibuni

Kama ulikuwa unaisubiri collabo ya Diamond na wasanii wa kundi la Psquare basi muda umewadia, Collabo hiyo inatoka hivi karibuni.
Diamond ametangaza ujio wa collabo hiyo iliyosubiriwa kwa muda mrefu kupitia Instagram,
“Don’t tell your friend to tell a friend, tell anybody to tell everybody that Platnum Diamond will be dropping his next featuring Psquare soon” amesema kwenye kipande cha video alichoweka Instagram.
13102417_221075748268054_702599398_n
Hii itakuwa video ya kwanza kwa wasanii hao wa Psquare kuonekana pamoja tangu ugomvi wao ulivyoibuka, japo inasemekana kuwa walishapatana lakini bado hawajaachia kazi ya pamoja.

No comments:

Post a Comment