New: Harmonize ft. Diamond Platnumz – “Bado” ( Official Video)
Baada ya “Audio ” ya “Bado” kutoka kwa msanii wa muziki wa
Bongo fleva Harmonize ambaye yupo chini ya lebo ya wasafi iliyopo chini
yake Diamond Platinumz, hapa ameachia video ya wimbo huo “Bado ft.
Diamond Platnumz, tumia dakika zako kadhaa kuitazama video hapa
ukimaliza tunakuomba usicheze mbali napage yetu kwani bado tunamengi ya
kukujuza
No comments:
Post a Comment