Jux hataki kusikia habari za video ya Stamina ‘Alisema’ ambaye yeye mwenyewe ameshirikishwa.
Jux amedai hakuvutiwa na video hiyo kutokana na ubovu wa utayarishaji
na kuongeza kuwa ingekuwa sasa asingekubali kufanya video kama ile.“Nilivyoshut tu ile video nikasafiri, wakati anaitoa sikwepo. Production haikuwa kiivyo, ilikuwa zamani. kuna makosa mengi, hata leo nikiiona ile video sitaki hata kuiangalia ingekuwa sasa hivi nisingekubali ile video tushooti” Jux alielezea.
Pia Jux alisema Jux kuwa collabo anazozikubali ni pamoja na ‘Nafanya’ aliyoshirikishwa na Cyril na ‘Safari’ aliyofanya na weusi pamoja na Navy Kenzo.
No comments:
Post a Comment