Monday, 22 February 2016

Video Mpya ya Yamoto Band ft Zena “Mama” imeachiwa tayari, itazame hapa


Audio ya single hii ilitoka wiki kadhaa zilizopita ila leo February 22 vijana wa Yamoto Band wameachia rasmi video yao mpya ya “Mama” ambayo wamemshirikisha Zena…. ukishaitazama unaweza kuacha comment yako ili wakipita wajue mashabiki wao wanasema nini…

No comments:

Post a Comment