Monday, 22 February 2016

Maneno ya Lulu baada ya kuzushiwa kifo mtandaoni

23,2,2016

Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, hivi leo Feb 22 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram kuhusu kuzushiwa kifo.
’Nasikia nimekufa wewe uliyepost  hii kama wewe utakwepo tutaonana tena 2017 inshaalah alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri Kwanza (niki repot LIVE kutoka heaven) this shows jina langu lina KIKI nishasema mniache jmn watsup Kufa nitakufa sikatai lkn mpk nimalize miaka iliyoandikwa kwenye Biblia’
elizabeth

No comments:

Post a Comment