Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amekata keki kubwa na kuzima mishumaa kusherekea siku yake ya kuzaliwa.
Kiongozi huyo mkongwe muanzilishi wa taifa hilo lililoko Afrika ya Kusini ameadhimisha miaka 92 ya kuzaliwa kwake.Keki hiyo ilikabidhiwa bwana Mugambe katika sherehe iliyoandaliwa na wafanyikazi wake asubuhi ya leo.

Gushungo ni jina lake la ukoo.
Sherehe hiyo iiyoandaliwa kwenye ikulu ya rais ilihudhuriwa na majenerali wa kijeshi na wageni wengine mashuhuri walioalikwa.

No comments:
Post a Comment