Friday 15 January 2016

UFAULU KIDATO CHA PILI NI ASILIMIA 89%

Image result for MATOKEO KIDATO CHA PILI Moja ya ripoti kubwa siku ya leo inahusu ishu ya matokeo ya mtihani wa kidato cha pili uliofanyika mwaka 2015, matokeo yako tayari na inaonesha asilimia kubwa ya wanafunzi wamefaulu.
Ripoti hiyo na matokeo inaonesha jumla ya wanafunzi  324,068 wamefaulu mtihani huo kati ya 363,666… kwa hesabu nyingine ni kwamba waliofaulu ni 89% kati ya wanafunzi wote Tanzania.
Hongera pia ziende kwa mikoa ambayo imeingia 10 bora mwaka huu ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Iringa pia.

No comments:

Post a Comment