Mshambuliaji wa
klabu ya West Ham raia wa Senegal Diafra Sakho ameliharibu kabisa gari
lake la kifahari aina ya Lamborghini lenye thamani ya dola 200,000 kwa
kuligongesha kwenye ukuta jijiji London Uingereza.

Hi ni kwa mujibu wa gazeti la Standard na Uingereza.
No comments:
Post a Comment