Msemaji ameeleza kuwa mashuhuda waliwaona watu wakiwa na silaha walioaminika kuvalia mavazi ya kukinga risasi.
Picha za Televisheni zimeonyesha watu wakiondolewa kutoka kwenye jengo.
Taarifa zaidi tutawaletea kwa kadri tutakavyokuwa tunazipata.
KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTUFUATILIA NDANI YA HABARIKA TZ TUTAKUSOGEZEA KILA KITU...........
No comments:
Post a Comment