Saturday, 5 December 2015

TASWIRA MBILI ZA KIONGERA ALIVYOANZA KUJIFUA NA KIKOSI CHA SIMBA MJINI ZANZIBAR

Blogu hii ilikuwa ya kwanza jana kukuandikia mshambuliaji Paul Kiongera amejiunga tena na Simba iliyoko mjini Zanzibar kwa ajili ya kamb
Tayari mshambuliaji huyo Mkenya, ameanza rasmi mazoezi pamoja na wenzake kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Kiongera amerejea Simba baada ya kucheza KCB ya Kenya mkopo, Simba ilimpeleka huko baada ya kuwa ameumia na kuanza matibabu nchini India ambayo yaligharimiwa na klabu hiyo kutoka eneo la Kariakoo.
Sasa Kiongera amerejea ili kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ambayo imeonekana kusuasua.

No comments:

Post a Comment