Tuesday, 8 December 2015
Neymar amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Novemba katika La Liga.
Neymar amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Novemba katika La Liga. Mchezaji huyu kutoka Brazil amepachika mabao 14 akiichezea Barcelona. Cha kushangaza ni kuwa Neymar anakuwa mchezaji wa kwanza wa Barcelona kushinda tuzo hii. Cristiano Ronaldo ameshinda mara mbili katika misimu mitatu. Tuzo hii ilianzishwa misimu mitatu iliyopita na hutolewa kila mwezi kuanzia mwaka 2013/14. Tuzo hiyo sasa imetolewa kwa wachezaji 21.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment