Michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) inatarajiwa kuendelea leo Desemba 8 kwa michezo kadhaa katika hatua ya makundi.
Real Madrid itakuwa ikichuana dhidi ya Malmo, Paris Saint-Germain watawakabili Shakhtar Donetsk zikiwa ni mechi za kundi A.KUNDI: B:
PSV Eindhoven Wao watapepetana na CSKA Moscow, Wolfsburg watakuwa wakimenyana na Manchester United .
KUNDI: C:
Benfica watawakabili Atlético Madrid, na Galatasaray ya Uturuki itachuana na Astana
KUNDI: D:
Manchester City Watawakabili Borussia Mönchengladbach, huku Sevilla wao wakichuana na vijukuu vya bibi kizee vya Turin Klabu ya Juventus .
Na Desemba 9 kutapigwa mechi kadhaa katika mwendelezo wa michuano hiyo.
Mechi kwa ufupi (Saa za Afrika Mashariki):
Paris Saint Germain v Shakt Donetsk 22:45
Real Madrid v Malmö FF 22:45
VfL Wolfsburg v Manchester United 22:45
Man City v B Monchengladbach 22:45
PSV Eindhoven v CSKA Moscow 22:45
Benfica v Atletico Madrid 22:45
Galatasaray v FC Astana 22:45
Sevilla v Juventus 22:45
No comments:
Post a Comment