Vijana wa chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa wanounda kundi la Whatsapp (MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI IRINGA) wameamua kumuunga mkono Magufuli kwa vitendo hasa baada ya kwenda kuwaona na kutoa msada kwa watoto yatima katika kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mkimbizi mkoani Iringa .
baaadhi ya viongozi wa MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA IRINGA WANAO UNDA KIKUNDI CHA WHATSAPP CHENYE JINA LA MAKADA WA (CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA IRINGA) KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WATOTO YATIMA .
NDUGU KIBASA AKIWA NA BAADHI YA WANACHAMA NA MAKADA WA CHAM,A CHA MAPINDUZI WAKIPATA PICHA YA PAMOJA MAPEMA HAPO JANA Picha na Bahati Msilu.
Hili nimoja la kundi la Mtandao wakijamii Whatsapp ambalo waliamua kujitolea vitu mbali mbali kama vile Sabuni,unga ,mafuta ya kupikia Nk kwa watoto yatima wanao ishi katika kito cha DAILY BREAD kilichopo Mkimbizi .
Hivyo huu ni mfano wakuigwa kwa jamii ilikutambua kuwa wao wanamchango mkubwa katika jamiii badala ya kuishia tu kuchati katika mitandao .
No comments:
Post a Comment