Seneta muislamu
nchini Kenya ametoa maoni yake kuhusu ziara ya papa Francis nchini Kenya
kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa kiongozi wa kanisa katoliki
duniani.
''Amezungumza kuhusu hali ya raia wa Palestina,walio dhaifu na walionyanyaswa.Ni mnyenyekevu na ameonyesha wazi kwamba ni mtetezi wa haki za jamii '',alisema Omar Hassan.

No comments:
Post a Comment