Wachezaji wa 10 wote wa Manchester United walichaguliwa na mameneja mataifa mbalimbali ya Ulaya kuwakilisha nchi zao katika michuano ya Ulaya inayoanza leo nchini Ufaransa.
Miongoni mwa mataifa 24 yaliyofuzu kushiriki Euro 2016, saba kati yao yatakuwa angalau na mchezaji kutoka Manchester United.
Isipokuwa Uingereza ambao watakuwa na wachezaji watatu na Ufaransa ambao watakuwa na wachezaji wawili, nchi nyingine tano zinawakilishwa na mchezaji mmoja mmoja kutoka Manchester United.
Kwa mujibu wa mtandao wa Sokka.com hii ndiyo ‘top ten’ ya wachezaji wa United watakaokuwa wakiyawakilisha mataifa tofauti nchini Ufaransa.
Kundi A – Ufaransa
Anthony Martial – Kiungo mshambuliaji
Morgan Schneiderlin – Kiungo mlinzi
Kundi B –England
Wayne Rooney – Kiungo, mshambuliaji

Wayne Rooney – Kiungo, mshambuliaji
Chris Smalling – Mlinzi
Marcus Rashford – Kiungo mshambuliaji
Kundi C – Ireland ya KasikaziniPaddy McNair – Mlinzi
Kundi C – UjerumaniBastian Schweinsteiger – Kiungo
Kundi D – HispaniaDavid De Gea – Kipa
Kundi E – UbelgijiMarouane Fellaini – Kiungo
Kundi E – Italia
Matteo Darmian – Beki
No comments:
Post a Comment