Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mchezaji wa kikapu wa kulipwa nchini Marekani, Mtanzania
Hashim Thabeet, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es
salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu lengo na mpango
wake wa kuanzisha na kukuza michezo pamoja na vituo vya Michezo hapa
Nchini.
Mchezaji
wa kikapu wa kulipwa nchini Marekani, Mtanzania Hashim Thabeet akisaini
moja ya mpira mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,
akipokea Zawadi ya Mpira kutoka kwa Mchezaji wa Mpira wa kulipwa wa
Kikapu nchini Marekani Hashim Thabeet, wakati alipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya
kumuelezea kuhusu lengo na mpango wake wa kuanzisha na kukuza vituo vya
Michezo hapa Nchini
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu
Hassan(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa Mpira wa
kulipwa wa Kikapu nchini Marekani Hashim Thabeet, wakati alipofika
Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Juni 09,2016 kwa
ajili ya kumuelezea kuhusu lengo na mpango wake wa kuanzisha na kukuza
vituo vya Michezo hapa Nchini. (PIcha na OMR)
No comments:
Post a Comment