Sunday, 19 June 2016

EURO 2016: KUNDI A WAMALIZA, USWISI YAUNGANA NA FRANCE RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16!







>>LEO KUNDI B, ENGLAND, WALES, RUSSIA, SLOVAKIA NANI KUSONGA?
EURO 2016
Matokeo:
Jumapili Juni 19
KUNDI A, Romania 0 Albania 1
KUNDI A, Switzerland 0 France 0

Mechi za Kundi A la EURO 2016 zimekamilika Jana kwa Wenyeji France kutoka 0-0 na Switzerland na Albania kuifunga Romania 1-0.
Matokeo hayo yameifanya Switzerland ifuzu pamoja France, ambao walifuzu mapema, kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 huku France ikiwa Washindi wa Kundi na Uswisi EURO2016-TEBO-JUNI20kushika Nafasi ya Pili.
Albania, ambao wamemaliza wakiwa nafasi ya 3 kwenye Kundi A, watasubiri majaliwa ya kuona kama watapita kama moja ya Timu 4 zitakazokuwa Washindi wa Tatu Bora.
+++++++++++++++++++++
TIMU ZILIZOFU KUINGIA RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
-KUNDI A: France, Switzerland
-KUNDI D: Spain
-KUNDI E: Italy
**Bado Timu 12
**Washindi Wawili wa juu wa Kila Kundi na Timu 4 zilizomaliza Nafasi za Tatu Bora zitaingia Raundi ya Mtoano ya Timu 16

Bao la ushindi la Alabania katika Mechi yao na Romania lilifungwa Dakika ya 43 na Armando Sadiku.
Kwenye Raundi ya Mtoano ya Timu 16, France watacheza na moja ya Timu itayofuzu kwa Tiketi ya Timu yay a 3 Bora kutoka Makundi ya C, D au E wakati Uswisi itacheza na Mshindi wa Pili toka Kundi D.
Leo zipo Mechi 2 za mwisho za Kundi B ambapo Russia watacheza na Wales na England kuivaa Slovakia.
VIKOSI VILIVYOANZA:
France: Lloris, Jallet, Rami, Koscielny, Evra, Cabaye, Sissoko, Pogba, Griezmann, Gignac, Coman 
Switzerland: Sommer, Lichtsteiner, Schär, Djourou, Rodríguez, Behrami, Xhaka, Džemaili, Mehmedi, Shaqiri, Embolo.
REFA: Damir Skomina [Slovenia]
EURO 2016
Ratiba/Matokeo
**Saa za Bongo
Ijumaa Juni 10
KUNDI A, France 2 Romania 1
Jumamosi Juni 11
KUNDI A, Albania 0 Switzerland 1
KUNDI B, Wales 2 Slovakia 1
KUNDI B, England 1 Russia 1
Jumapili Juni 12
KUNDI D, Turkey 0 Croatia 1
KUNDI C, Poland 1 Northern Ireland 0
KUNDI C, Germany 2 Ukraine 0
Jumatatu Juni 13
KUNDI D, Spain 1 Czech Republic 0
KUNDI E, Republic of Ireland 1 Sweden 1
KUNDI E, Belgium 0 Italy 2
Jumanne Juni 14
KUNDI F, Austria 0 Hungary 2
KUNDI F, Portugal 1 Iceland 1
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia 1 Slovakia 2
KUNDI A, Romania 1 Switzerland 1
KUNDI A, France 2 Albania 0
Alhamisi Juni 16
KUNDI B, England 2 Wales 1
KUNDI C, Ukraine 0 Northern Ireland 2
KUNDI C, Germany 0 Poland 0
Ijumaa Juni 17
KUNDI E, Italy 1 Sweden 0
KUNDI D, Czech Republic 2 Croatia 2
KUNDI D, Spain 3 Turkey 0
Jumamosi Juni 18
KUNDI E, Belgium 3 Republic of Ireland 0
KUNDI F, Iceland 1 Hungary 1
KUNDI F, Portugal 0 Austria 0
Jumapili Juni 19
KUNDI A, Romania 0 Albania 1
KUNDI A, Switzerland 0 France 0
Jumatatu Juni 20
KUNDI B, Russia v Wales (2200, Stadium de Toulouse)
KUNDI B, Slovakia v England (2200, Stade Geoffroy Guichard)
Jumanne Juni 21
KUNDI C, Ukraine v Poland (1900, Stade Velodrome)
KUNDI C, Northern Ireland v Germany (1900, Parc des Princes)
KUNDI D, Czech Republic v Turkey (2200, Stade Bollaert-Delelis)
KUNDI D, Croatia v Spain (2200, Stade de Bordeaux)
Jumatano Juni 22
KUNDI F, Iceland v Austria (1900, Stade de France)
KUNDI F, Hungary v Portugal (1900, Stade de Lyon)
KUNDI E, Italy v Republic of Ireland (2200, Stade Pierre Mauroy)
KUNDI E, Sweden v Belgium (2200, Stade de Nice)
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Jumamosi Juni 25
Switzerland v Mshindi wa Pili KUNDI C (1600, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Mshindi KUNDI B v Mshindi wa 3 KUNDI A/C/D (1900, Parc des Princes, Paris)
Mshindi KUNDI D v Mshindi wa 3 KUNDI B/E/F (2200, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
Jumapili Juni 26
France v Mshindi wa 3 KUNDI C/D/E (1600, Stade de Lyon)
Mshindi KUNDI C v Mshindi wa 3 KUNDI A/B/F (1900, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Mshindi KUNDI F v Mshindi wa Pili KUNDI E (2200, Stadium de Toulouse)
Jumatatu Juni 27
Mshindi KUNDI E v Mshindi wa Pili KUNDI D (1900, Stade de France, Paris)
Mshindi wa Pili KUNDI B v Mshindi wa Pili KUNDI F (2200, Stade de Nice)
Robo Fainali
Alhamisi Juni 30
Robo Fainali ya 1, (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Ijumaa Julai 1
Robo Fainali ya 2, (2200, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumamosi Julai 2
Robo Fainali ya 3, (2200, Stade de Bordeaux)
Jumapili Julai 3
Robo Fainali ya 4, (2200, Stade de France, Paris)
Nusu Fainali
Jumatano Julai 6
Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo Fainali ya 2 (2200, Stade de Lyon)
Alhamisi Julai 7
Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo Fainali ya 4 (2200, Stade Velodrome, Marseille)
Fainali
Jumapili Julai 10
(2200, Stade de France, Paris)

Viwanja 10 vya Mechi za Fainali:
Stade de Bordeaux, Bordeaux (Watu 42,000)
Stade Bollaert Delelis, Lens Agglo (35,000)
Stade Pierre Mauroy, Lille Metropole (50,100)
Stade de Lyon, Lyon (58,000)
Stade Velodrome, Marseilles (67,000)
Stade de Nice, Nice (35,000)
Parc des Princes, Paris (45,000)
Stade de France, Saint-Denis (80,000)
Stade Geoffroy Guichard, Saint-Etienne (41,500)
Stadium de Toulouse, Toulouse (33,000)
**Fainali itachezwa Stade de France

EURO 2016
MAKUNDI:
KUNDI A: France, Romania, Albania, Switzerland.
KUNDI B: England, Russia, Wales, Slovakia.
KUNDI C: Germany, Ukraine, Poland, Northern Ireland.
KUNDI D: Spain, Turkey, Czech Republic, Croatia.
KUNDI E: Belgium, Republic of Ireland, Sweden, Italy.
KUNDI F: Portugal, Iceland, Austria, Hungary.
Fainali zitafanyika lini:
-Euro 2016 itaanza Ijumaa Juni 10 na kumalizika Jumapili Julai 10.
-Hii ni mara ya kwanza kwa Fainali hizi kuwa na Timu 24 na hivyo itakuwepo Raundi ya Mtoano ya Timu 16, kisha Robo Fainali na Nusu Fainali.

No comments:

Post a Comment