Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mkoa wa Iringa Hassan Mtenga amesema kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge katika
jimbo la Iringa yaliyompa ushindi Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA haijafutwa
kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini.
Mtenga amesema kuwa kesi ya msingi
ya kesi hiyo haijafutwa bali kuna mabadiliko ambayo wanapaswa kuyafanya.
No comments:
Post a Comment