Samatta ambaye amekuwa akiingia akitokea benchi katika mechi zake zote tatu KRC, ametimiza dakika 60 za kuitumikia Genk baada ya kupata nafasi ya kucheza kwa dakika 30 akitokea benchi katika mechi vs Lokeren, baada ya dakika ya 60 kuingia kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis.
Mechi ya kwanza ya Samatta kuichezea Genk alicheza kwa dakika 17 ya pili kwa dakika 13
na jana February 20 akacheza jumla ya dakika 30 ambapo mpaka mwisho
game ilikua ni 0-0 unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini….
No comments:
Post a Comment