Kikundi cha
watafiti wa wahanga wa ugonjwa wa Ebola nchini Liberia wamebaini kuwa
wengi kati yao walisumbuliwa na tatizo la akili baada ya kuathirika na
virusi vya Ebola.
Watafiti kutoka serikali ya marekani wanatafiti juu ya athari
za muda mrefu ambazo wamezimeangalia kwa watu 82 waliopona ugonjwa wa
Ebola na kubaini kuwa mbili ya tatu wamesumbuka na tatizo la
kudhoofika,kuumwa kichwa,kupoteza kumbukumbu na kuwa dalili za kuwa na
huzuni.BBC
No comments:
Post a Comment