Monday, 18 January 2016

Video: Lil wayne aipotezea show na kuondoka jukwaani baada ya mashabiki kukataa kumshangilia

Rapper Lil wayne amejikuta akiperform kwa chini ya dakika moja baada ya mashabiki walioudhulia show hiyo kukataa kunyoosha mikono akiwa jukwaani.

Tukio hilo limetokea Italy kwenye maonesho ya mitindo ambapo rapper huyo kutoka YMCMB alikua mmoja ya wasanii waliotakiwa kushambulia jukwaa la maonesho hayo, Kwenye video iliyochukuliwa n TMZ Inaonesha Lil wayne akiwaambia mashabiki wake wanyooshe mikono juu wakati anataka kuanza kuimba lakini hakuna aliyenyoosha
“Is this what you want me to do? You serious?” Lil Wayne aliuliza kabla ya kuimba kwa sekunde chache kisha kutupa mic nakuondoka jukwaani.


No comments:

Post a Comment