Mbwana Ally Samatta ndiyo wanasoka bora Afrika kwa wale wanaocheza ndani ya bara hili.
Samatta
ameibuka mwanasoka bora kwa kuwashinda Muteba Kadiaba ambaye ni kipa
mkongwe wa TP Mazembe na Bounedjah Baghdad wa Algeria anayekipiga Etoile
du Sahel.
Samatta ametwaa tuzo hiyo kwenye utoaji utoaji tuzo za wachezaji bora zinazoendelea jijini Lagosi Nigeria.
Watanzania wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu kufanyika kwa tuzo hizo ili Samatta aweke rekodi barani Afrik
No comments:
Post a Comment