Saturday, 9 January 2016

Katy Perry awa mtu wa kwanza kuwa na followers wengi zaidi Twitter, Afikisha followers Million 80

Image result for Katy Perry

Muimbaji Katy Perry ameshika rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Twitter, Amefikisha idadi ya folloers Million 80.4
Image result for Katy Perry
Nyuma yake yupo muimbaji wa Sorry Justin Bieber mwenye followers million 72.9 akifuatiwa na Tyalor swift mwenye followers million 68.8
Katy Perry anaamini anapata idadi kubwa ya Followers kwasababu asilimia kubwa ya tweets huwa anaziweka mwenyewe
‘I would say 90 per cent of my Tweets, I’ve just made them up and you can tell because many of them are misspelled and full of typos.
‘But the other five per cent is work related or it’s just to keep people in the know about where I’m playing or if I’m doing a show and I always get really confused.’ Alisema Katy Perry hivi karibuni.
Hii ni moja ya Tweets zake zilizowahi kupata retweets nyingi zaidi

No comments:

Post a Comment