Janet Jackson amekanusha tetesi za kuwa na ugonjwa wa Cancer.
Katika kukabiliana na uvumi wa kuwa na ugonjwa wa kansa ya koo, Nyota huyo wa pop ametumia mtandao wa Twitter kuwapa taarifa mashabiki wake, Ameweka clip ya dakika akitumia mashairi ya wimbo wake ‘The Great Forever‘“Remember… believe it when you hear it from my lips,” Alisema “The rumors are untrue. I do not have cancer. I’m recovering.”
Mwezi uliopita, Janet alihairisha tour yake ya ‘Unbreakable World tour’ kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji, japo hakuweka wazi zaidi.
Hata hivyo amesema madaktari wamelidhika na afya yake na wamemruhusu kufanya tour yake.
No comments:
Post a Comment